22 Dec 2025 7:30 pm | Citizen TV 1,033 views Duration: 1:50 Familia, jamaa na marafiki wa aliyekuwa mtangazaji na mratibu wa sherehe za Ikulu Sammy Lui walijumuika kwenye ibada ya ukumbusho wa maisha yake , miezi miwili baada ya kifo chake.