- 183 viewsDuration: 1:47Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi aliongoza sherehe za kuadhimisha miaka 25 ya Maninagar Shree Swaminarayan Gadi kwenye Hekalu la Shree Swaminarayan jijini Nairobi. Mudavadi alipongeza wafuasi wa jamii ya Shree Swaminarayan akisema kuwa kanuni za msingi za dini hiyo zinahimiza kukubaliana kwa wote na mshikamano wa kijamii. Aidha, aliwashukuru Wakenya wa asili ya Kihindi kwa mchango wao katika kukuza uchumi wa Kenya na kutoa fursa za ajira kwa wasio na kazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive