Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wazee wa jamii ya Arjun waunga mkono Kenya Kwanza

  • | KBC Video
    217 views
    Duration: 1:48
    Baadhi ya wazee wa jamii ya Ajuran katika kaunti ya Wajir wamejitokeza kuunga mkono utawala wa Kenya Kwanza. Wazee hao wakiongozwa na Sultan walitaja baadhi ya miradi ya maendeleo na teuzi za jamii hiyo serikalini kuwa sababu za kuiunga mkono serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive