Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Nanyuki yazindua mpango wa tiba ya mwili kupitia densi

  • | KBC Video
    124 views
    Duration: 3:03
    Maumivu ya mgongo yamesalia kuwa mojawapo wa sababu kuu za matatizo ya kutembea miongoni mwa watu wazima ambapo hasa husababishwa na kutofanya mazoezi na misuli inayozeeka. Hata hivyo katika hospitali ya mafunzo na matibabu maalum ya Nanyuki mpango wa kiubunifu unaleta afueni sio kupitia upasuaji wa matibabu ya muda mrefu ili kupitia uchezaji densi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive