- 206 viewsDuration: 2:34Serikali ya kaunti ya Nairobi inatafuta mkataba wa ushirikiano wa sekta za kibinafsi na umma kufadhili kiwanda cha kutayarisha taka upya. Afisa mkuu wa chakula, kilimo na mali asili katika kaunti ya Nairobi amesema kuwa kiwanda hicho kitatumia taka za chakula kutoka kwenye masoko kote jijini Nairobi kutayarisha mbolea na chakula cha mifugo. Kwa hizi na habari nyingi huu hapa mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive