Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani (NTSA), huduma ya taifa ya (NPS) na idara ya mahakama zineimarisha oparesheni kwenye barabara kuu na miji, ili kukabiliana na ajali za barabarani zilizosababisha vifo vya watu 4,458 kufikia sasa . Akiongea huko Mombasa, mwenyekiti wa bodi ya halmashauri ya NTSA Khatib Mwashetani alisema shughuli hiyo inalenga kuhakikisha sheria za trafiki zinazingatiwa na madereva ili kupunguza visa vya ajali msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive