- 35,779 viewsDuration: 3:27Polisi wanachunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Daystar wakati wa tamasha ya msanii wa Afrobeat iliyofanyika Jumamosi katika Uwanja wa Nyayo. Karen Lojore, anaripotiwa kufariki baada ya mkanyagano kutokea katika milango ya uwanja huo. Familia yake sasa inataka haki na uwajibikaji wa kifo chake.