- 15,359 viewsDuration: 2:44Imebainika kuwa dereva aliyehusika kwenye ajali ya barabarani iliyowauwa watu watano hapo jana huko kedowa kericho, alikuwa akiwakimbiza wezi. Jamaa zao wanasema kuwa wezi walivunja duka na kutoweka na mali na kusababisha waliohusika kwenye ajali hiyo kuanza kuwafuata kwa kasi wakitumia gari aina ya probox.