Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka Kirinyaga wapinga wito wa kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya kikatiba

  • | NTV Video
    471 views
    Duration: 1:30
    Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Kirinyaga wamepinga wito wa kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya kikatiba kufanyika mwaka wa 2027 kama ilivyopendekekwa na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya