- 3,753 viewsDuration: 3:28Wageni wanaendelea kuzuru Pwani ya Kenya kwa msimu huu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya. Wengi wao wanafika kufurahia fukwe za bahari, kujivinjari katika maeneo ya burudani na hata kujumuika na wenyeji ambao ni wenye mila na desturi za kuvutia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya