- 673 viewsDuration: 1:04Mwanaume mmoja amefikishwa katika mahakama ya Wang’uru, kaunti ya Kirinyaga akikabiliwa na mashtaka ya kumtilia tembe za kumzubaisha kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti hiyo Benson Waweru na kumuibia Sh659,720. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya