Katika onyesho nadra la shukrani, maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Kiamutugu katika kaunti ya Kirinyaga, walipokea karamu ya Siku ya Mwaka Mpya iliyoandaliwa na wenyeji, kufuatia kupungua kwa visa vya uhalifu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya