Wadau wa elimu katika eneo la Thika, Kaunti ya Kiambu, wameibua wasiwasi mkubwa kuhusu mkanganyiko na ukosefu wa usawa unaoendelea katika zoezi la kuwapangia wanafunzi wa sekondari, wakionya kuwa hali hiyo inachangiwa na ukosefu wa rasilimali shuleni na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya