Zaidi ya lita elfu tano za pombe haramu maarufu kama 'bikisodo' zimeharibiwa na mtekengenezaji mmoja kukamatwa katika msako mkali uliofanywa na maafisa wa Mamlaka ya Kudhibiti Pombe na dawa za Kulevya (NACADA), kwa ushirikiano na maafisa wa polisi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya