Skip to main content
Skip to main content

Lusaka adaiwa kutumia mgao wa zaidi ya Sh24m zilizotengewa vyuo Bungoma

  • | NTV Video
    306 views
    Duration: 1:23
    Seneta wa Bungoma David Wakoli amemtaka gavana wa Bungoma Kenneth Lusaka kueleza wakaazi wa kaunti hiyo na Wakenya kwa ujumla alivyotumia mgao wa zaidi ya Sh24m zilizotengewa vyuo na taasisi za kiufundi katika kaunti hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya