Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya kiraia yataka sheria ya makosa ya kujamiian 2006 kurekebishwa

  • | NTV Video
    231 views
    Duration: 2:47
    Mashirika ya kiraia yametoa wito wa kufanyiwa marekebisho ya haraka ya sheria ya Makosa ya Kujamiiana ya mwaka ya 2006 ambayo Wanasema kuwa sheria hiyo imesababisha wanaume wengi hasa vijana kufungwa gerezani, na inakandamiza urekebishaji wa sheria hiyo na kuunganishwa kwao tena katika jamii kufuatia vifungo virefu na wengine kufungwa maisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya