Wakazi wa Kijiji cha Kibingo, kaunti ya Kirinyaga, wamezua taharuki kutokana na ongezeko la ukosefu wa usalama kufuatia kisa cha wizi katika Kanisa la Love of Jesus Ministry.
Kulingana na kasisi wa kanisa hilo, Mchungaji Mugendi, wezi walivamia kanisa hilo Jumatano usiku na kuiba mashine yenye thamani ya takriban shilingi elfu 40,000.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya