- 613 viewsDuration: 2:39Wavuvi kutoka eneo la Shela kisiwani Amu kaunti ya Lamu wamelalamikia unyakuzi wa baadhi ya sehemu za fukwe za bahari. Wakiongozwa na muungano wa wavuvi wa BMU, wavuvi hawa na wakazi wanalalamikia kuingiliwa kwa fukwe ya bahari ya Raskitau