- 1,655 viewsDuration: 2:21Polisi katika kaunti ya kericho wanachunguza mkasa wa moto uliotokea kijijini poiwek usiku wa kuamkia leo, ambapo mwanamke mmoja na bintiye wa miaka 8 waliaga dunia. Katika kisa tofauti eneo la Ngecherok, familia nyingine inakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuteketeza nyumba yao na magari mawili.