Skip to main content
Skip to main content

Mumo asimama imara, afanya KCSE na kupata A licha ya changamoto Dandora

  • | Citizen TV
    3,635 views
    Duration: 3:23
    Tukiangazia KCSE ni kuwa, furaha zimeendelea kwa familia za wanafunzi waliofanya vyema kwenye mtihani huu wa kitaifa, lakini Mbali na shangwe hizi, kuna wale walio na simulizi za kuvutia ambao hawakukata tamaa licha ya mazingira magumu. Miongoni mwao ni Shalom Wambua Mumo, ambaye licha ya changamoto za kifamilia, alipata alama ya A. Ben Kirui na simulizi yake.