- 6,314 viewsDuration: 2:54Kizazaa kilizuka mapema leo katika shule ya upili ya Raganga kaunti ya Kisii baada ya wazazi kuandamana na kufunga ofisi za mwalimu mkuu wa shule hiyo baada ya matokeo mabaya ya KCSE. Wazazi hawa wakiwa na ghadhabu baada wanafunzi wote wa shule hiyo kupata alama D na E . Walimu waliokuwa shuleni walilazimika kukimbilia usalama wao.