- 1,072 viewsDuration: 2:48Shughuli ya kuwahoji waliotuma maombi ya kuwa majaji wa mahakama kuu na ile ya rufaa imeanza. Mwenyekiti wa mamlaka ya kuangazia utendakazi wa Polisi IPOA Ahmed Isaak Hassan na mchanganuzi wa maswala ya Katiba Profesa Migai Akech, ni miongoni mwa wale wanaotaka kuteuliwa kuwa majaji wa mahakama ya rufaa.