Skip to main content
Skip to main content

Lawama zazidi Raganga baada ya wanafunzi wote kupata D na E kwenye KCSE

  • | Citizen TV
    1,377 views
    Duration: 3:56
    Turejee katika shule ya upili ya Raganga kaunti ya Kisii ambako lawama imeendelea kati ya wazazi, wanafunzi na walimu kuhusu ni nini haswa kilichosababisha wanafunzi wote wa shule hiyo kupata alama za D na E kwenye KCSE ya mwaka jana. Sasa inabainika kuwa masomo katika shule hii hayakuwa yakiendelea kila siku kama ada, huku baadhi ya masomo pia yakikosa vifaa vya kufunziwa. Walimu nao wakilaumu wazazi kwa kuwa tu walitumia shule hiyo kuwaachia watoto waliofeli na wasio maadili