- 1,753 viewsDuration: 2:47Wazazi zaidi wanaendelea kushutumu shule za upili kwa matokeo duni ya mtihani kwa KCSE, huku wakiitaka wizara ya elimu kuinglia kati. Katika shue ya upili ya Utuneni kaunti ya Makueni, wazazi wamelaumu ukosefu wa miundomsingi pamoja na kile walichosema ni ukaidi wa msimamizi wa shule hiyo yaliyosababisha matokeo duni. Na katika kaunti ya Kericho, wazazi na watahiniwa kutoka shule ya upili ya Kabokyek wanalitaka baraza la mitihani kusahihisha upya mitihani ya shule hiyo