Skip to main content
Skip to main content

Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kukosa ajenda ya vijana

  • | Citizen TV
    2,470 views
    Duration: 2:36
    Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani akisema kuwa hawana ajenda ya kuimarisha vijana na kupambana na ukosefu wa ajira. Rais Ruto akizungumza katika kaunti ya Samburu alikozindua mradi wa nyota amewarai vijana dhidi ya kutumika vibaya kisiasa