13 Jan 2026 7:40 pm | Citizen TV 191 views Duration: 1:07 Baada ya miezi miwili ya shindano la Jipange na Viusasa, Jason Mutahi, mkazi wa Ngong katika Kaunti ya Kajiado, ameibuka mshindi mkuu baada ya kujishindia shilingi milioni mbili.