- 180 viewsDuration: 1:17Mechi tatu za ligi kuu ya Kenya zitachezwa kesho na alhamisi kabla ya mechi za raundi ya 17 zilizopangwa wikendi. Mechi hizo tatu zilizoratibiwa upya zikihusisha timu ya polisi dhidi ya Mara Sugar, KCB dhidi ya Nairobi united na Gor Mahia dhidi ya Murang'a seal.