Skip to main content
Skip to main content

Biashara zabomolewa katika barabara ya Aerodome Nairobi

  • | Citizen TV
    17,329 views
    Duration: 4:25
    Mali ya mamailioni ya pesa imeharibiwa katika eneo la Kibiashara mkabala na uwanja wa michezo wa nyayo kufuatia ubomozi ulifanywa usiku wa manane. Eneo hilo ambalo liko katika barabara ua Aerodrome lilikuwa na biashara kadhaa ikiwemo uuzaji magari, sehemu ya kuegesha na kuosha magari pamoja na biashara nyingine ndogo ngodo. Matinga tinga yalionekana usiku yakifanya ubomozi chini ya ulinzi mkali wa polisi. Kufuatia ubomoaji huo mali ya mamailioni ya pesa iliharibiwa yajkiwemo magari ambayo wenyewe hawakuarifiwa kuyaondoa mapema. Mwanahabari wetu Ben Kirui yuko katika eneo hilo la tukio na sasa tunaungana naye atupashe mengi zaidi.