Skip to main content
Skip to main content

NCIC, 'Search For Common Ground' zafanya kampeini ya amani

  • | Citizen TV
    245 views
    Duration: 2:13
    Wakazi wa kijiji cha Karathe, Rongai katika Kaunti ya Kajiado Kaskazini, wameelezea hofu yao kufuatia kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama eneo hilo. Hii ni baada ya mtu mmoja kupoteza maisha kutokana na majeraha ya shambulizi, huku watu watatu wakijeruhiwa, na mmoja wao akiendelea kupokea matibabu hospitalini. Wakazi hao walizungumza wakati wa baraza la usalama lililoandaliwa na chifu wa eneo hilo kwa ushirikiano na wazee wa Nyumba Kumi, wakitoa wito kwa serikali kuanzisha kituo cha polisi karibu na kijiji hicho ili kuboresha usalama.