Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Marhabaa Nyali wanalalamikia uvamizi wa ardhi

  • | Citizen TV
    1,737 views
    Duration: 4:51
    Wakazi wa Marhaba eneo bunge la Nyali kaunti ya Mombasa wanaitaka serikali ya kaunti kutatua mzozo wa ardhi unaozingira kiwanja cha marhaba ambacho wanadai mabwenyenye wana njama ya kukinyakua. Katika mkutano ulioshirikisha viongozi wa Freere Town wakazi wanadai bwenyenye mmoja amekuwa akitoa vitisho na kusitisha vijana kucheza katika uwanja huo ila serikali ya kaunti ya Mombasa imesema uchunguzi unaendelea.