Skip to main content
Skip to main content

Onyo latolewa kaunti ya Trans Nzoia dhidi ya kuwanyima watoto haki ya kuelimishwa

  • | Citizen TV
    243 views
    Duration: 2:14
    Wazazi katika Kaunti ya Trans Nzoia wameonywa vikali dhidi ya kuwanyima watoto wao haki ya kupata elimu kwa kukosa kuwapeleka shuleni huku maafisa wa serikali wakisema kuwa elimu ni haki ya kimsingi kwa kila mtoto, na yeyote atakayepuuza wajibu huo atachukuliwa hatua za kisheria.