Skip to main content
Skip to main content

Familia moja HomaBay yalilia haki baada ya jamaa yao kuteketea Gerezani

  • | Citizen TV
    789 views
    Duration: 2:27
    Familia Moja kutoka eneo bunge la ndhiwa katika kaunti ya Homabay wanataka majibu kuhusu kile wanachodai kuwa uzembe katika Gereza la Kendege baada ya mwanao wa miaka 25 kupata majeraha mabaya ya moto bila kuripotiwa kwa familia.