- 169 viewsDuration: 3:08Wakaazi wa kijiji cha Kizingitini Kisiwa cha Pate kaunti ya Lamu wanalazimika kuosha maiti za wapendwa wao kwa kutumia maji ya bahari kufuatia tatizo la ukosefu wa maji unaoshuhudiwa eneo hilo. Wenyeji Kizingitini hutegemea maji ya mvua yanayohifadhiwa kwenye mabirika au majabia ila ni muda sasa mvua zimekosa kunyesha.