- 198 viewsDuration: 1:55Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano NCIC ikishirikiana na shirika la Search for Common Ground imeanzisha mikakati ya kutoa mafunzo ya kueneza amani mitandaoni kwa watumiaji mitandao na wanafunzi wa vyuo vikuu kabla ya kampeni za uchaguzi wa mwaka ujao kung'oa nanga.