- 278 viewsDuration: 3:19Serikali ya kitaifa sasa inasema itatoa shilingi bilioni nne kila mwezi katika juhudi za kukabiliana na athari ya ukame inayoshuhudiwa katika sehemu kadhaa nchini. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki akisema kuwa serikali tayari imetoa shilingi bilioni sita katika muda wa mwezi mmoja uliopita.