Skip to main content
Skip to main content

Oburu Oginga apata idhini kuzungumza na vyama vingine, asema ODM haifukuzi wanachama

  • | Citizen TV
    4,301 views
    Duration: 2:48
    Kinara wa ODM Oburu Oginga ametangaza kwamba amepewa idhini rasmi na wafuasi wa chama hicho kuzungumza na vyama vingine kuhusu ushirikiano wao wa mwaka wa 2027. Aidha, kinara huyo ametangaza kwamba chama cha chungwa hakitamfukuza yeyote akiwataka wasioridhika kuhama chama