- 1,172 viewsDuration: 2:22Familia moja mjini Mombasa sasa inataka majibu kutoka kwa serikali baada ya jamaa yao aliyeelekea Urusi kwa kazi kupoteza mawasiliano. Familia ya Arrestus Kiti Nyale kutoka eneo la Junda huko Kisauni, inasema jamaa yao aliwaarifu kuwa alikuwa urusi kujiunga na jeshi, ila sasa imekuwa miezi mitatu bila mawasiliano