Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa Smart City wapingwa Bungoma

  • | Citizen TV
    542 views
    Duration: 1:33
    Zoezi la serikali la kukusanya maoni ya wakaazi kuhusu ujenzi wa smart city na nyumba za bei nafuu katika uwanja ndege lilikosa kufanyika kama ilivyoratibiwa . Mwaniaji wa ugavana kaunti ya Bungoma Zakaria Barasa aliwasilisha kesi mahakamani kupinga ujenzi huo . Baadaye zakaria aliwahutubia wakaazi waliofika na kuwaeleza sababu zilizomchochea kupinga kujengwa kwa smart city na nyumba za bei nafuu katika ardhi hiyo