Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wachache wajitokeza kujiunga na Sekondari Nyatike, Migori

  • | Citizen TV
    130 views
    Duration: 1:48
    Wasiwasi umegubika wazazi katika eneo bunge la nyatike kaunti ya Migori baada ya baadhi ya wanafunzi kususia kurejea shuleni. Wiki mbili baada ya Shule kufunguliwa wanafunzi wengi wa sekondari wameasusia kurudi shuleni huku wazazi wao wakieleza kuwa Hali hiyo imeletwa na matokeo duni katika mitihani ya kitaifa.....