Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa wataabika hospitalini Trans Mara huko Kilgoris

  • | Citizen TV
    252 views
    Duration: 1:25
    Huduma za matibabu katika hospitali ya Trannsmara West mjini Kilgoris zimetatizika pakubwa baada ya usimamizi wa hospitali hiyo kuamua kuifunga ghafla kufuatia tukio la uvamizi wa wahudumu wa afya usiku wa kuamkia jumatano na kuacha maafisa wa afya na majeraha.