- 2,034 viewsDuration: 2:35Mshukiwa wa wizi wa magari amefikishwa kizimbani baada ya kumatwa na makachero wa DCI. Richard Amimo anakabiliwa na tuhuma za kupokea fedha kutoka kwa wateja wawili na kukosa kuwasilisha magari. Upande wa mashtaka uliarifu mahakama ya mombasa kuwa mshukiwa anakabiliwa na kesi zaidi ya nane na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi 650,000 au kusalia katika gereza la jelabaridi mjini Mombasa wakati kesi itakuwa ikiendelea.