Skip to main content
Skip to main content

Watahiniwa wa somo la ishara wasema watakosa kujiunga na vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    834 views
    Duration: 3:56
    Hali tete inaendelea kushuhudiwa miongoni mwa watahiniwa wa somo la ishara kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE 2025, baada ya alama za wenzao waliotahiniwa katika somo hilo kukosa alama zao. Kulingana na wazazi, uamuzi wa baraza la mitihani KNEC kukosa kuzihesabu alama za somo hilo, kumewafungia wengi nafasi za kujiunga na vyuo vikuu