15 Jan 2026 1:17 pm | Citizen TV 231 views Duration: 2:06 Shughuli za masomo zilitatizika kwa muda katika shule ya msingi na upili ya Chemwokter ilioko wadi ya ilmotiok Narok magharibi baada ya wazazi waliokuwa na hamaki kuandamana hadi shuleni humo na kuamuru ifungwe mara moja.