- 439 viewsDuration: 3:39Wagonjwa zaidi ya 60 wamepokea huduma za upasuaji bila malipo katika hospitali ya rufaa ya nyamira, kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyoandaliwa na serikali ya kaunti ya nyamira kwa ushirikiano na madaktari 31 kutoka marekani na kampuni ya Guardian.