15 Jan 2026 1:58 pm | Citizen TV 525 views Duration: 2:54 Miradi yenye thamani ya Zaidi ya shillingi billioni 50 imewekezwa katika kaunti ya Lamu .Miradi hii ikiwemo ya viwanda itafungua uchumi wa Lamu na kutoa nafasi nyingi za ajira.