Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaagiza kuendelea kufungwa kwa akaunti za Wamatangi katika kesi ya ufisadi

  • | Citizen TV
    8,854 views
    Duration: 2:45
    Gavana wa Kiambu, Kimani Wamatangi, amepata pigo jingine baada ya Mahakama Kuu kuagiza kuendelea kufungwa kwa akaunti zake za benki. Aidha, agizo hili pia limeagiza kufungwa kwa akaunti za mkewe na wanawe pamoja na watu wengine kumi wanaohusishwa na kesi ya ufisadi ya zaidi ya shilingi milioni 800 alipokuwa Seneta wa Kiambu. Uamuzi huo umezidisha masaibu yanayomkabili gavana huyo, siku moja tu baada ya mali yake ya thamani ya mamilioni pesa kuharibiwa hapa Nairobi,