- 278 viewsDuration: 2:06Wizara ya elimu nayo sasa imetangaza kuongezwa kwa muda wa wanafunzi wa gredi ya kumi kufika shuleni kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekosa kuendelea na masomo. Katibu wa elimu Julius Bitok aliyezungumza alipozuru shule ya Alliance kaunti ya Kiambu, amewataka wazazi kuchukua jukumu kubadili shule za watoto wao endapo kulikuwa na tashwishi yoyote.