15 Jan 2026 7:42 pm | Citizen TV 4,274 views Duration: 39s Watu sita wameuawa kwenye shambulizi la punde zaidi la majangili katika eneo la Illeret kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa kamishna wa kaunti ya eneo la Mashariki Paul Rotich