Skip to main content
Skip to main content

Ruto akerwa na wapinzani, asema ukosefu wa ajira ni kosa la viongozi wa zamani

  • | Citizen TV
    1,768 views
    Duration: 2:31
    Rais William Ruto, sasa anasema ukosefu wa ajira kwa vijana umesababishwa na uongozi mbaya, akielekezea lawama serikali za watangulizi wake. Akizungumza katika kaunti ya Machakos alipoongoza awamu ya sita ya utoaji wa mtaji wa biashara chini ya mradi wa NYOTA, Rais Ruto pia ameendelea kuwashambulia wapinzani na wakosoaji wake, aliowataja kama maadui wa maendeleo