Skip to main content
Skip to main content

Familia Nakuru yaomba msaada wa serikali kurejesha mwana wao aliyekamatwa Thailand

  • | Citizen TV
    493 views
    Duration: 2:35
    Familia moja kutoka eneo la Barnabas ,Nakuru inaiomba serikali kuisaidia kumrejesha mwana wao wa miaka ishirini aliyekamatwa nchini Thailand. Anthony Mwangi alielekea Thailand mwezi oktoba mwaka uliopita ila akakamatwa alipofika nchini humo